Mzee wa Kijiji aaga baada ya kushambuliwa na Nyuki
MZEE WA KIJIJI AAGA DUNIA KWA
KUNG’ATWA NA NYUKI MAZISHINI
BUMBA LA NYUKI WALIVURUGA HAFLA MOJA YA
MAZISHI ENEO LA GATUNDU KASKAZINI, KAUNTI YA
KIAMBU SIKU YA JUMAMOSI, SEPTEMBA 25, NA KUUA
MMOJA WA WAOMBOLEZAJI. KATIKA KISA HICHO
KISICHOKUWA CHA KAWAIDA, MAREHEMU MUNGAI
MBURU AMBAYE NI MZEE WA KIJIJI, ALIKUWA
AMEHUDHURIA HAFLA YA MAZISHI YA MJUKUU WAKE
WAKATI NYUKI HAO WENYE HAMAKI WALIMVAMIA.
KWA MUJIBU WA TAIFA LEO, MKE WAKE MAREHEMU,
WANJIKU MBURU, BAADA YA MAOMBI KUFANYWA
KWENYE KABURI, NYUKI WALIWAVAMIA HUKU KILA
MMOJA AKICHANA MBUGA KUOKOA MAISHA YAKE.
WANJIKU ALIELEZEA KUWA NI KATIKA TAHARUKI
HIYO NDIPO MUME WAKE ALIYEKUWA NA UMRI WA
MIAKA 85, ALIANGUKA CHINI BAADA YA KUSUKUMWA
NA UMATI WA WATU NA KUKUMBANA NA MAUTI YAKE
MIKONONI MWA NYUKI HAO,JUHUDI ZA WASAMphoto curtsey