EntertainmentTrending
NASRI ASTAFU SOKA LA KULIPWA
Mchezaji wa zamani wa Arsenal kiungo samir nasri ameamua kustaafu soka la kulipwa akiwa na umri wa miaka 34
Nasri ambaye alicheza arsenal kabla ya kutimkia Manchester city ameona ni muda muafaka wa yeye kutundika daluga Unamkumbukakwa lipi Samir Nasri??
photo courtesy