Sports

Ni muda wa Michael Carrick

Cristiano Ronaldo

Usiku wa kuamkia leo tumeshuhudia mitanange mbalimbali ya michezo ya Klabu bingwa barani ulaya.

Mechi iliokua inasubiriwa na mashabiki wote duniani ni mechi kati ya Villarreal dhidi ya Manchester United. Hii ndo mechi ya Kwanza kwa Manchester United kucheza baada ya kutimuliwa kwa aliyekua kocha mkuu Ole Gunnar Soljker aliyeonyeshwa mlango wa kutokea baada ya kufungwa na Watford katika Ligi kuu wikiendi iliyopita. Katika mechi ya Jana Villarreal walianza mchezo vizuri kwa kumiliki mpira na kutengeneza nafasi nyingi za kufunga ila uimara wa golikipa David De Gea ulifanya hadi mapumziko timu zote kuwa suluhu bila kufungana. Kipindi cha pili vijana wa Michael Carick walikuja na nguvu mpya na kupata magoli Mawili kupitia kwa Cristiano Ronaldo na Jadon Sancho.

Katika matokeo mengne

  • Chelsea 4-0 Juventus
  • Barcelona 0-0 Benfica
  • Young boys 3- Atlanta
  • Sevilla 2-0 Wolfsburg
  • Lille 1-0 Salzburg
  • Dynamo kiv 1-2 Bayern Munich

             

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker