Breaking

Pedri ashinda tuzo

Pedri

Kinda wa Barcelona ameshinda tuzo ya mchezaji bora kijana kwa mwaka wa 2021. Golden boy award hutolewa kila mwaka kwa mchezaji mdogo.

Pedri amekua katika kiwango kikubwa na kuingia katika kikosi cha Kwanza cha Barcelona na pia kufanikiwa kuitwa timu ya taifa ya uhispania na kucheza katika michuano ya Euro2020 yaliyofanyika mwaka huu. Mchezaji wa mwisho wa Barcelona kutwaa tuzo hii alikua Lionel Messi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button

Adblock Detected

turnoff Ad blocker to view the site