EntertainmentMusicopinionsSportsTrending
England yaadhibiwa vikali na FIFA
Timu ya taifa ya Uingereza imepigwa faini ya kucheza michezo miwili ya nyumbani bila mashabiki pamoja na faini ya Euro £100000 kwa kukutwa na makosa ya ghasia na vurugu katika fainali ya michuano ya Euro2020 yaliyofanyika katika uwanja wa Wembley.